Young Killer: Jux hasomi, bali ananunua nguo China

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,610
Huku watanzania wakiwa wanaamini ya kuwa Jux yupo kimasomo nchini China, young rapper young killer amemchana Jux kupitia kipindi cha FNL kuwa yupo China kununua nguo na si kusoma.

By😡SUPU YA MAWE
 
Sasa Young killa inamuhusu nini!!
iwe anasoma, anapakatwa, anabeba box sisi tunahusikaje!? ni mbaya sana kwa mtoto wa kiume kuwa na tabia na ishara zinazopingana na uanaume wako!! za KISHOGA!!
 
Jux ndo mayor wa mji gani hapa calfornia?
 
Jux ni bishoo tu wala siwezi poteza time yangu kusikiliza ngoma zake
 
Sasa Young killa inamuhusu nini!!
iwe anasoma, anapakatwa, anabeba box sisi tunahusikaje!? ni mbaya sana kwa mtoto wa kiume kuwa na tabia na ishara zinazopingana na uanaume wako!! za KISHOGA!!

hahahaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…