Young Killer: Jux hasomi, bali ananunua nguo China

Jux ni bishoo tu wala siwezi poteza time yangu kusikiliza ngoma zake

ipo siku utamkubali tu tena sio muda mrefu, dogo anajua mi siangalii bishoo au vp mi naangalia uwezo wake kwenye muziki, unataka aishi kama 20 percent nini ?
 
Sasa Young killa inamuhusu nini!!
iwe anasoma, anapakatwa, anabeba box sisi tunahusikaje!? ni mbaya sana kwa mtoto wa kiume kuwa na tabia na ishara zinazopingana na uanaume wako!! za KISHOGA!!

Hahaaaaaaaa
 
Hii haituhusu..haya ni maisha aliyoyachagua mwenyewe.
 
Napenda mziki wa JUX,, ananunua nguo, sembe, anapakatwa, hayanhusu.

He is RnB. Nice music.
 
Mh! hawa mnaowaita celebrity wa bongo balaa! akiwa mwanamke malaya akiwa mwanaume shoga!
 
We young killer kwa hiyo anakaa china miezi 6 ananunua nguo tu ni za nini hizo nguo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…