Young Killer vs Young Dee vs Dogojanja vs M Rap

swagga nini maana yake?, na radio gani unasikiliza wewe?.
 
Huwezi kumfananisha pakarapa
Na mambo ya kijinga boy
 
Show zangu natisha ila Israel ndio anayeua' Killer hana mpinzan kwa hao madogo wanaochana.
 
Kimafanikio killer anajitahidi kidogo
young d hajitambui anafanya mziki mkubwa lakini hana hata hela ya fegi
dogo janja anapenda kuonekana ana hela lakini ni njaa tu hajiwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…