Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Wakuu Kumekucha, Kwanini Mistari Mingi ya Young Lunya kwenye nyimbo zake ni Matusi? Huyu Ndio anamfananishwa na late Ngwear kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akikujibu nishtue mkuuNani kamfananisha?
Akijibu nitagNani kamfananisha?
Japokuwa wa muda mrefu lakini nadhani ni promo tuAnapewa promo tu ila hafiki kwa rapcha huyo dogo
Rapcha naweza poteza muda wangu kumsilikiza, ana kitu. Awa wengine hapana aisee bora niendelee kusikiza wabana pua.Anapewa promo tu ila hafiki kwa rapcha huyo dogo
Aisee... Umemkosea sana killer...! AiseeTatizo radha dogo ana mitindo furani hivi ukisikia anatiririka unasema yes sir ngoja kina young killer wapumzike