Remmy JF-Expert Member Joined Jun 9, 2009 Posts 4,701 Reaction score 1,803 Sep 25, 2010 #1 Leo saa 1 hadi saa 3 usiku vijana wanasiasa watakuwa ndani ya nyumba movenpick hotel kwa mdahalo na Jeneral Ulimwengu, so watakuwa live itv. My concern ni vijana wawili machachari John Mnyika na Regia Mtema, so stay watching.
Leo saa 1 hadi saa 3 usiku vijana wanasiasa watakuwa ndani ya nyumba movenpick hotel kwa mdahalo na Jeneral Ulimwengu, so watakuwa live itv. My concern ni vijana wawili machachari John Mnyika na Regia Mtema, so stay watching.
carmel JF-Expert Member Joined Aug 24, 2009 Posts 2,836 Reaction score 265 Oct 6, 2010 #2 jamani andikeni hata kwa kiswahili, hicho kichwa cha habari mi sijaelewa kabisa, sio dhambi kuongea lugha yetu ya taifa
jamani andikeni hata kwa kiswahili, hicho kichwa cha habari mi sijaelewa kabisa, sio dhambi kuongea lugha yetu ya taifa