Evidence show Young leaders appears to make more recklessness decisions than their older counterparts, vijana wengi tunajijua ni Good risk takers, unfortunately kwenye nafasi nyeti za uongozi you must ensure zero risks.
Umejumuisha hapo Nkurunzinza, meaning ni wale waliowahi kuwa ma rais wakiwa na umri mdogo, hata kama kwa sasa hawapo duniani..1. Abiy Ahmed, Ethiopia (43)
2. Andry Rajoelina, Madagascar (45)
3. Mswati III, eSwatini (51)
4. George Weah, Liberia (53)
5. Faure Gnassingbe, Togo (53)
6. Adama Barrow, Gambia (54)
7. Pierre Nkurunziza, Burundi (55)
8. Julius Maada Bio, Sierra Leone (55)
9. Mohammed VI, Morocco (56)
10. Felix Tshisekedi, DR Congo (56)
11. Danny Faure, Seychelles (57)
12. Mohamed Farmajo, Somalia (57)View attachment 1707776
Umejumuisha hapo Nkurunzinza, meaning ni wale waliowahi kuwa ma rais hata kama kwa sasa hawapo duniani..
Then, ongeza huyu:
13. Julius K. Nyerere, Tz (39)
1. Abiy Ahmed, Ethiopia (43)
2. Andry Rajoelina, Madagascar (45)
3. Mswati III, eSwatini (51)
4. George Weah, Liberia (53)
5. Faure Gnassingbe, Togo (53)
6. Adama Barrow, Gambia (54)
7. Pierre Nkurunziza, Burundi (55)
8. Julius Maada Bio, Sierra Leone (55)
9. Mohammed VI, Morocco (56)
10. Felix Tshisekedi, DR Congo (56)
11. Danny Faure, Seychelles (57)
12. Mohamed Farmajo, Somalia (57)View attachment 1707776
Ushasema risk with care.., ensure you minimize the risk to Zero, huwezi fanya maamuzi ya nchi unachukua risk deliberately, Ndio maana kwa mfano Miradi yote ya serikali tunakuwa na feasibility studies prior to commencement. Huwezi kubeti na nchi mzee.Hakuna zero risk in this world... kiongozi asiye chukua risk hatufai..
Take risk with care.
Hakuna zero risk in this world... kiongozi asiye chukua risk hatufai..
Take risk with care.
Sure, na yataanzia kwako.Ila yale ya kifo cha ghafla cha nkurunzinza soon yanakuja kutokea udanganyikani
1. Abiy Ahmed, Ethiopia (43)
2. Andry Rajoelina, Madagascar (45)
3. Mswati III, eSwatini (51)
4. George Weah, Liberia (53)
5. Faure Gnassingbe, Togo (53)
6. Adama Barrow, Gambia (54)
7. Pierre Nkurunziza, Burundi (55)
8. Julius Maada Bio, Sierra Leone (55)
9. Mohammed VI, Morocco (56)
10. Felix Tshisekedi, DR Congo (56)
11. Danny Faure, Seychelles (57)
12. Mohamed Farmajo, Somalia (57)View attachment 1707776
Safi. Alikuwa kamanda shupavu.Mkuu kwa Africa youngest kuliko wote ni VALENTINE STRASSER.
Huyu dogo alipindua selekali ya Sierra Leon mnamo tarehe 29 mwezi wa 4 mwaka 1992 akiwa na miaka 25 (25yrs)
Strasser alimuondoa madarakani Joseph Momoh nakutawara yeye mwenyewe kuanzia 1992 mpaka 1996 alipo pinduliwa na msaidizi wake Brg. General Julius Bio akishirikiana na Colonel Tom Nyuma na Capt. Komba Mondeh. Strasser alikimbilia gambia na baadae alipewa skolaship kwenda kusoma sheria huko uwingereza, hata hivyo wasierraleon waishio uwingereza walipaza sauti na kulalamika kuwa Strasser ni muuwaji na anatakiwa akamatwe. Skolarship ilifutwa na Strasser akarejea gambia, alikaa kwa muda na baadae alifukuzwa ikidaiwa anaplani za kupindua serekali ya gambia. Baadae alisamehewa na uongozi wa Sierra Leon na akarejea nyumbani na kuendelea kuishi na mama yake kijijini kwao. Kwasasa ni ombaomba mtaani
View attachment 1707846
View attachment 1707848View attachment 1707850
baada ya kutoka madarakani na kufulia
View attachment 1707861
View attachment 1707853View attachment 1707854
Pierre Nkurunzinza?1. Abiy Ahmed, Ethiopia (43)
2. Andry Rajoelina, Madagascar (45)
3. Mswati III, eSwatini (51)
4. George Weah, Liberia (53)
5. Faure Gnassingbe, Togo (53)
6. Adama Barrow, Gambia (54)
7. Pierre Nkurunziza, Burundi (55)
8. Julius Maada Bio, Sierra Leone (55)
9. Mohammed VI, Morocco (56)
10. Felix Tshisekedi, DR Congo (56)
11. Danny Faure, Seychelles (57)
12. Mohamed Farmajo, Somalia (57)View attachment 1707776
What an interesting (and sad) story!Mkuu kwa Africa youngest kuliko wote ni VALENTINE STRASSER.
Huyu dogo alipindua selekali ya Sierra Leon mnamo tarehe 29 mwezi wa 4 mwaka 1992 akiwa na miaka 25 (25yrs)
Strasser alimuondoa madarakani Joseph Momoh nakutawara yeye mwenyewe kuanzia 1992 mpaka 1996 alipo pinduliwa na msaidizi wake Brg. General Julius Bio akishirikiana na Colonel Tom Nyuma na Capt. Komba Mondeh. Strasser alikimbilia gambia na baadae alipewa skolaship kwenda kusoma sheria huko uwingereza, hata hivyo wasierraleon waishio uwingereza walipaza sauti na kulalamika kuwa Strasser ni muuwaji na anatakiwa akamatwe. Skolarship ilifutwa na Strasser akarejea gambia, alikaa kwa muda na baadae alifukuzwa ikidaiwa anaplani za kupindua serekali ya gambia. Baadae alisamehewa na uongozi wa Sierra Leon na akarejea nyumbani na kuendelea kuishi na mama yake kijijini kwao. Kwasasa ni ombaomba mtaani
View attachment 1707846
View attachment 1707848View attachment 1707850
baada ya kutoka madarakani na kufulia
View attachment 1707861
View attachment 1707853View attachment 1707854
Is abiy Ahmed a president of Ethiopia? What about Sahle-Work Zewde? You can't be serious.1. Abiy Ahmed, Ethiopia (43)
2. Andry Rajoelina, Madagascar (45)
3. Mswati III, eSwatini (51)
4. George Weah, Liberia (53)
5. Faure Gnassingbe, Togo (53)
6. Adama Barrow, Gambia (54)
7. Pierre Nkurunziza, Burundi (55)
8. Julius Maada Bio, Sierra Leone (55)
9. Mohammed VI, Morocco (56)
10. Felix Tshisekedi, DR Congo (56)
11. Danny Faure, Seychelles (57)
12. Mohamed Farmajo, Somalia (57)View attachment 1707776
Make Google your friend“How true, how true"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee! Atakuwa alikuwa amejisahau sana!Mkuu kwa Africa youngest kuliko wote ni VALENTINE STRASSER.