Your favourite thread in jamii forum.

Themann

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2022
Posts
3,842
Reaction score
16,058
Habari za jioni wakuu hongereni kwa kazi poleni kwa uchovu niende moja kwa moja kwenye point yangu ilionileta hapa..

Bila kupoteza muda kutokana na ku-participate kwa kila mmoja wetu humu jamvini naamini sote tuna thread pendwa..
Kwa muda wote.Nikianza na mimi za kwangu ni.

1.JAMII HEALTH
-mimea tiba inayo tuzunguka.

2.JF TECH&GARAGE
- wazee wa road trip

3.JF LOUNGE
-no fap challenge
-selfika
-usiku wa manane
-dar es salaam & Nairobi battle...

Zipo nyingi nikiziolodhesha zote hapa hapatotosha Drop yours.
 
JF pamoja na forums zake kwangu ni favourite....
 
Uzi wa riki boy wa kula tunda kimasihara ndo Uzi uliochangamka zaidi kuliko Uzi wowote ule ndani ya JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…