zipo sample zinazoendana na mahitaji hayo japo tunapenda tuone kiwanja chako na kukupa your own taste design karibu +255624004650 .Asante kwa hongeraHongera Kwa kazi Mkuu!
Kiukweli unafanya kazi nzuri sana humu.
Hivi naweza kupata ramani ya ghorofa moja yenye Vyumba 7 ikiwa na accessories zote i.e dining/kitchen/laundry/study room/sitting room