Mnauza kiasi gani hizo draft zenuzipo sample zinazoendana na mahitaji hayo japo tunapenda tuone kiwanja chako na kukupa your own taste design karibu +255624004650 .Asante kwa hongera
Hongera Kwa kazi Mkuu!
Kiukweli unafanya kazi nzuri sana humu.
Hivi naweza kupata ramani ya ghorofa moja yenye Vyumba 7 ikiwa na accessories zote i.e dining/kitchen/laundry/study room/sitting room
Paa la bati lile la kawaida, hizi contemporary roof zimenishinda
Ni kupoteza hela tu
samahani bossssssPicha ni nzuri ila taarifa sijaelewa.Ungeandika na kwa kingazija mkuu ili akina sisi tukuelewe yakhee!