Uchaguzi 2020 Your voice, your choice October 28

Uchaguzi 2020 Your voice, your choice October 28

kambiyamkaa

Senior Member
Joined
Aug 9, 2020
Posts
122
Reaction score
110
Watanzania tuwe makini sana, Sana tunaelekea October 28! Kuwa katika tafakuri sahihi! Jiulize, kwanini unapiga Kura!? Usipige Kura kwa desturi na mazoea! Tafakari Sana juu ya hatima ya maisha yako na vizazi vyako! Kumbuka halmashauri yako ya wilaya unaijenga wewe kwa kutuchagulia Diwani msomi na mwenye uwezo wa kuchambua bajeti

Kumbuka Diwani huyo ndiye anakuwakilisha kwa niaba yako hapo halmashauri! Vivyo hivyo kwa Wabunge. Mbunge ambaye elimu yake ni ya kuunga unga, huyo hafai hata kidogo!!! Leo wapo wagombea ni darasa la Saba! Hii Ni hatari kubwa sana kwa mustakabali wa muhimili huu wa kutunga Sheria
 
Back
Top Bottom