Braces bei gani?, pia je, clear alligners zipo?Tsh 150,000/= karibu
Baby unataka kusafisha meno?
Miaka 37 ndo uzee?Nikila kitu chamoto Kuna jino limeanza kuniuma. Takribani miezi mitatu sasa sijui ndouzee unapiga hodi doh!!
Pole sana... Inawezekana lina crack kidogo labda...Nikila kitu chamoto Kuna jino limeanza kuniuma. Takribani miezi mitatu sasa sijui ndouzee unapiga hodi doh!!