Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
laki 6 mkuu ila kuna mazungumzo
Mkuu kwani Ukiinunua utaendelea kufanya ilichokuwa unafanya, au utaipa matumizi yako kulingana na plans zako?Inaitwaje tuka cheki kwanza kazi Zake
Inaitwa saietv inafanya kazi za sportsInaitwaje tuka cheki kwanza kazi Zake
Kwa mwezi mmoja unaweza Ku earn kiasi gani cha pesa kupitia channel yako?Youtube chaneli inauzwa ina subscribe 6526 ipo kwenye malipo
Ilikuwa inafanya kazi ya vipindi vya michezo
Bei ni 600,000
Simu 0753-215812.
View attachment 2966590
Uendeshaji wake ni kuweka nguvu ya kupost zaidi walau kwa siku 5 ,hapo unaweza kupiga pesa uwezavyoKwa mwezi mmoja unaweza Ku earn kiasi gani cha pesa kupitia channel yako?
Uendeshaji wake ni kuweka nguvu ya kupost zaidi walau kwa siku 5 ,hapo unaweza kupiga pesa uwezavyo
Mtu wa pili lakini inaonekana hujasoma maelezo unauliza bei!
Mkuu unaelewa kweli Youtube Channels zinavyofanya kazi? Kama ni ndio, basi hilo sio swali.Kama inalipwa kwa nini uiuze sasa...?
Ungenielimisha ingependeza zaidi ili nifahamu mkuu...!Mkuu unaelewa kweli Youtube Channels zinavyofanya kazi? Kama ni ndio, basi hilo sio swali.
Ina maana ukipata views wanahesabiwa mwezi mpaka mwezi au general viewers mkuu...?Uendeshaji wa Youtube Chaneli jambo la kwanza inatakiwa ufahamu kwamba unataka uwe unazalisha maudhui ya aina gani katika chaneli yako,mfano ya Michezo inakupasa uwe na content nyingi kwa siku walau 5 kwa siku ambayo kimakadiri kwa mwezi video zikiwa zimepanda hata 80-90 na ukafanikiwa kupata views kuanzia 70000 hadi 150000 unaweza kuvuna mapato yasiopungua Dola 150 hadi 350 kwahiyo kifupi ukiwa unapata views wakutosha kwa mwezi ndiyo mapato yako yatakuwa makubwa zaidi
hii ni kwa uzoefu wangu mimi katika uendeshaji wa Youtube Chaneli
Views unaowapata ni jumla ya views ambao umewavuna kwa mwezi huo na kama wanaongezeka katika video ulizopost mwezi mwingine pia nao wanahesabika kwahiyo kifupi ipo hivyoIna maana ukipata views wanahesabiwa mwezi mpaka mwezi au general viewers mkuu...?
Mkuu na namba yangu nipigie kama unahitaji maelezo zaidiIna maana ukipata views wanahesabiwa mwezi mpaka mwezi au general viewers mkuu...?