INAUZWA Youtube Channeli inauzwa. Imekidhi vigezo muhimu

INAUZWA Youtube Channeli inauzwa. Imekidhi vigezo muhimu

Mafyangula

Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
75
Reaction score
100
Habari!

Kuna Youtube Chaneli inauzwa. Inasubscribe 14700, ipo kwenye malipo na imetoa pesa mara 3 hadi sasa.

Bei yake ni 3,300,000.

Kama unahitaji basi Unaweza nicheki PM kwa mawasiliano zaidi!

Asanteni!
 
Kwa nini usiendelee nayo, unauzaje aset inayokuingizia mkwanja Mkuu
 
Back
Top Bottom