Youtube.com: Siipati nikiwa China, je kuna anayeipata?

locust60

Senior Member
Joined
Oct 1, 2008
Posts
101
Reaction score
12
Wadau naomba kuuliza nipo nchini china kikindi cha nyuma youtube ilikuwa inapatikana kwa sasa ni kama miezi miwili hivi haipatikani,je nitatizo ya computer yangu au nini,naomba mwenye ufahamu na hilo anijuze.
 
Youtube imekua blocked na serikali ya China.
 
angalia wasikulishe vyura wa kihansi huko mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…