Sinkala
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 1,773
- 688
Nilikuwa natafuta highlights za mechi ya Arsenal Vs Chelsea katika Youtube videos, lakini kila nikifungua nakumbana na ads au napelekwa kwenye link tofauti kabisa. Mfano ni hii video hapa:
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=RHEPYAto4n0[/ame]
Anayeweza kupata link sahihi ya video ya higlights hizo naomba aniwekee humu tafadhali.
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=RHEPYAto4n0[/ame]
Anayeweza kupata link sahihi ya video ya higlights hizo naomba aniwekee humu tafadhali.