Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Kampuni ya Alphabet ambayo inaimiliki Google na YouTube imetoa ripoti ya mauzo yake na faida ambayo imeingiza katika Q4 2021 (October, November na December).
Alphabet imepata faida ya Dola Bilioni 75.3 sawa na Trilioni 174 Tshs. Hiyo ni jumla ya faida iliyopata katika biashara zake zote na matangazo. Faida yake imezidi kupanda kwa asilimia 32%.
YouTube peke yake imeingiza faida ya Dola Bilioni 8.63 sawa na Trilioni 19.9 katika faida ya matangazo; mwaka juzi YouTube ilipata faida ya Dola 6.89 sawa na Trilioni 15.9 hivyo imezidi kupanda faida.
Faida nyingine imepatikana katika matangazo nje ya YouTube, Google Cloud na huduma nyingine za Google.