#COVID19 YouTube kuanza kufuta Video zinazodai Mitishamba inatibu Coronavirus

#COVID19 YouTube kuanza kufuta Video zinazodai Mitishamba inatibu Coronavirus

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Kampuni ya YouTube inayomilikiwa na Google imesema itaondoa video zote na baadhi ya akaunti za Watu maarufu wanaoweka video zenye maudhui yanayozipinga chanjo za corona zilizothibitishwa, itaondoa pia taarifa zinazodai corona inatibiwa kwa dawa za kienyeji.

==============

YouTube has said it will remove content that spreads misinformation about all approved vaccines, expanding a ban on false claims about Covid-19 jabs.

Videos that say approved vaccines are dangerous and cause autism, cancer or infertility are among those that will be taken down, the company said.

The policy includes the termination of accounts of anti-vaccine influencers.

Tech giants have been criticised for not doing more to counter false health information on their sites.

In July, US President Joe Biden said social media platforms were largely responsible for people's scepticism in getting vaccinated by spreading misinformation, and appealed for them to address the issue.

YouTube, which is owned by Google, said 130,000 videos were removed from its platform since last year, when it implemented a ban on content spreading misinformation about Covid vaccines.

In a blog post, the company said it had seen false claims about Covid jabs "spill over into misinformation about vaccines in general". The new policy covers long-approved vaccines, such as those against measles or hepatitis B.

"We're expanding our medical misinformation policies on YouTube with new guidelines on currently administered vaccines that are approved and confirmed to be safe and effective by local health authorities and the WHO," the post said, referring to the World Health Organization.
 
watajisumbua tu, pia watawafanya watu waamin kuwa kuna agenda mbaya zilizo nyuma ya pazia kwny izo chanjo, ndiomaana wanataka kuficha ukwel unaozungumzwa na watu uko mitandaoni.

linakuja jitu lnawasifia hao watu kwa demokrasia, wakat mitandao yao inaminya haki za kujieleza kwa kuhoji mambo yasiyoeleweka,.wao hawataki kuwachallenge kwa kuhoji undan wa chanjo, wanataka watu wakubali tu uo ujinga wao.

mnaoshabikia huo upuuzi wa vaccine, matokeo yake mtayapata soon na mtajuta maana kiburi chenu kitawaumbua
 
watajisumbua tu, pia watawafanya watu waamin kuwa kuna agenda mbaya zilizo nyuma ya pazia kwny izo chanjo, ndiomaana wanataka kuficha ukwel unaozungumzwa na watu uko mitandaoni...
Si mfungue mtandao wenu unaofanya kazi kama YouTube, kwani lazima mtumie huo mtandao. Mnapenda sana kujiliza liza bila sababu.
 
Kampuni ya YouTube inayomilikiwa na Google imesema itaondoa video zote na baadhi ya akaunti za Watu maarufu wanaoweka video zenye maudhui yanayozipinga chanjo za corona zilizothibitishwa, itaondoa pia taarifa zinazodai corona inatibiwa kwa dawa za kienyeji...
Waione hii mamburula yote bila kulisahau hili:

Mathanzua
 
Kampuni ya YouTube inayomilikiwa na Google imesema itaondoa video zote na baadhi ya akaunti za Watu maarufu wanaoweka video zenye maudhui yanayozipinga chanjo za corona zilizothibitishwa, itaondoa pia taarifa zinazodai corona inatibiwa kwa dawa za kienyej....
Hili mbona sio la leo wameanza muds mrefu kufuta, mimi nili download video kutoka you tube za jamaa mmoja ambaye ni Conspiracy theorist anaitwa David Icke, kulikuwa na video kama 100 hivi kwenye simu yangu.

Youtube wakazifuta zote, David Icke amefutiwa account zote za Social Media na kuwa blocked hata vitabu vyake ni vigumu sana kuvipata, japo bado vinapatikana kama softcopy kule pdfdrive.com
Agenda ya Covid19 ni ya Illuminatti kuwapiga microchipping binadamu wote, na wana agenda ya kupunguza watu hadi kufikia Milioni 500 au Bilioni moja na nusu hivi kutoka Bilioni saba iliyopo leo.
Hawa wamiliki wa social media ni Illuminati na wana agenda moja ya NWO.

Mark Zuckerberg amepewa kazi hiyo kwenye social media ku filter misinformation.
Bill Gates amepewa kazi ya kuchanja binadamu wote kupitia shirika lake la chanjo linaloitwa Gavi Agency.
Elon Musk tajiri na boss wa Spacex amepewa kazi ya kupeleka Cargo ambazo ni Satelite kwenye low attitude kule Space na amepewa kazi ya kufunga 5G networking ya Free WiFi ambayo ita beam kwenye entire earth ili kuwa connect kwenye Global internet grid binadamu wote ambao wamekuwa microchipped zoezi ambalo Bill Gates ambaye pia anasimamia WHO.

Washirika wengine kwenye agenda hii ni all Governments in the world ambao wana majeshi, magereza, mahakama na resouces zote ili ku enforce agenda hii itimie kikamilifu, leaders wote ambao watakuwa wanaonekana kupinga agenda hii wataondolewa mara moja.

Nimemsahau mmoja kuna George Soros, bilionea wa Hungary ambaye yeye ana deal na political movement kama zile Arab springs, hata ile movement ya Black Lives Matter ni ya George Soros ndo Funder mkuu nk.

Kuna network kubwa sana ya watu japo wengine hawaelewi kama wana play part kwenye agenda hii ya kuuchukua ulimwengu kikamilifu.

Everything including economical starvation are by design purposefully to the New World Order
 
Wataanza na zile mna rais jiwe kweri kweri au nasema uwongo ndugu zangu.

Ayaaaaaaaa mwingine
 
Kampuni ya YouTube inayomilikiwa na Google imesema itaondoa video zote na baadhi ya akaunti za Watu maarufu wanaoweka video zenye maudhui yanayozipinga chanjo za corona zilizothibitishwa, itaondoa pia taarifa zinazodai corona inatibiwa kwa dawa za kienyeji...
Wameshahongwa pesa na makampuni ya chanjo, ni biashara tu, pesa, pesa, pesa
 
Fungueni mitandao yenu, kenge nyie
JF ni mk@nd wako? Au unadhani mtandao ni m@klio yako? Jamiiforums sio mtandao? Bwege ni bwege tu, hata ulifanyeje linabaki kuwa bwege, mnakera sana; kwanza sijala ban muda mrefu, potelea mbali
 
Si mfungue mtandao wenu unaofanya kazi kama YouTube, kwani lazima mtumie huo mtandao. Mnapenda sana kujiliza liza bila sababu.
shida sio kuunda mtandao, shida ni wao hawataki ushindan, uo mtandao jiulize mwanzo ulimilikiwa na nan? kwann waufanye kuwa mtandao unaobase kwa maslahi yataifa la marekani na kupambana na watu wanaokwenda kinyume na ajenda za USA?

Je mwanzilish wa uo mtandao alipenda huo ujinga wa kubagua mawazo ya watu kwenye mtandao wake yawepo? ukipata wajibu haya wala hutoteseka tena kujua kwanin wanafanya hayo
 
JF ni mk@nd wako? Au unadhani mtandao ni m@klio yako? Jamiiforums sio mtandao? Bwege ni bwege tu, hata ulifanyeje linabaki kuwa bwege, mnakera sana; kwanza sijala ban muda mrefu, potelea mbali
Mnajiliza liza kama machoko. Kila siku kulalamika kuhusu mabeberu utafikiri wamewafungia bongo zenu ziache kufikiri na ku come up with innovation,
 
shida sio kuunda mtandao, shida ni wao hawataki ushindan, uo mtandao jiulize mwanzo ulimilikiwa na nan? kwann waufanye kuwa mtandao unaobase kwa maslahi yataifa la marekani na kupambana na watu wanaokwenda kinyume na ajenda za USA? je mwanzilish wa uo mtandao alipenda huo ujinga wa kubagua mawazo ya watu kwenye mtandao wake yawepo? ukipata wajibu haya wala hutoteseka tena kujua kwanin wanafanya hayo
Achaneni na mitandao yao. Waafrika anzisheni mitandao yenu na mpeane support wenyewe kwa wenyewe sio kutegemea mitandao ya mabeberu, kumbuka hiyo ni biashara na kwenye soko huria hakuna huruma.
 
Kampuni ya YouTube inayomilikiwa na Google imesema itaondoa video zote na baadhi ya akaunti za Watu maarufu wanaoweka video zenye maudhui yanayozipinga chanjo za corona zilizothibitishwa, itaondoa pia taarifa zinazodai corona inatibiwa kwa dawa za kienyeji.

==============

YouTube has said it will remove content that spreads misinformation about all approved vaccines, expanding a ban on false claims about Covid-19 jabs.

Videos that say approved vaccines are dangerous and cause autism, cancer or infertility are among those that will be taken down, the company said.

The policy includes the termination of accounts of anti-vaccine influencers.

Tech giants have been criticised for not doing more to counter false health information on their sites.

In July, US President Joe Biden said social media platforms were largely responsible for people's scepticism in getting vaccinated by spreading misinformation, and appealed for them to address the issue.

YouTube, which is owned by Google, said 130,000 videos were removed from its platform since last year, when it implemented a ban on content spreading misinformation about Covid vaccines.

In a blog post, the company said it had seen false claims about Covid jabs "spill over into misinformation about vaccines in general". The new policy covers long-approved vaccines, such as those against measles or hepatitis B.

"We're expanding our medical misinformation policies on YouTube with new guidelines on currently administered vaccines that are approved and confirmed to be safe and effective by local health authorities and the WHO," the post said, referring to the World Health Organization.
Falsafa yangu huwa ni kuwa:
Nikiona google au fesibuku wamekataza jambo linalohusiana na ajenda ya sasa; nikiona Fact checkers wameponda jambo linalohusianana ajenda ya sasa, HUKOHUKO NDIKO NAANZA KUFUATILIA KWA MAKINI.

Kwa nini wasifanye hivyo kwa kifua kikuu, polio au magonjwa mengine?

Na kwa kufanya hivyo, nimegundua mambo mengi sana.
SIDANGANYIKI.
 
Back
Top Bottom