๐—ฌ๐—ผ๐˜‚๐—ง๐˜‚๐—ฏ๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐˜‚๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐˜‚ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐— ๐—ฒ๐˜€๐—ฒ๐—ท๐—ถ ๐—ฃ๐—ฟ๐—ถ๐˜ƒ๐—ฎ๐˜๐—ฒ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833


YouTube inafanya majaribio ya feature mpya inaitwa "Direct Message" Kwa watumiaji wake kupitia channel zao ambazo wana share video Kwa wengine kuweza kuchati nao Private.

Feature hiyo itawapa watu uwezo wa kuweza kuchati kupitia app ya YouTube mobile Kwa kuweza kutumiana Meseji ndani ya hiyo app kama ilivyo kwenye Instagram, TikTok nk.

Japo ilikuwepo miaka ya nyuma ila ikaondolewa mwaka 2019 feature hii itaanza kufanya Kazi Kwa watumiaji wenye Umri wa miaka 18 na kuendelea.

Kwa sasa feature hii inapatikana Kwa watumiaji wa nchi ya Poland na Ireland, ambapo inawapa watu uwezo wa kuchati na marafiki zao kupitia video za long, short na live stream Kwa kufanya top up request Kisha utaamua ukubali au lah ili kuanza kuchati na uwapendao Kwa kutumiana Meseji Private.
 
Isije kuwa wamepewa tenda na watekaji na wauwaji kwenye mradi wao mpya wa mo29 na baada ya hapo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ