YouTube Money! - Tajirika na YouTube!!

Steve Dii

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2007
Posts
6,402
Reaction score
1,273
Hii kitu wameanza majaribio kitambo kidogo kimepita. Hivi sasa wameamua kushirikisha "watu wote." Ni wakati wa kutumia ubunifu kujipatia 'tupesa' kwa wale walioko Marekani kwa sasa!!

Tafadhali soma zaidi hapa chini:
Source link: http://ytbizblog.blogspot.com/2009/08/in-future-everyone-will-monetize-their.html

Source link: http://www.theregister.co.uk/2009/08/26/youtube_expands_ad_partnership_program_to_single_vids/

SteveD.
 
Ok,SteveD;ila ni kwa USA kwanza.Ama kweli charity begins@home,sijui na mimi nianzishe ya kwangu!!Anyway,ikianza kufanya kazi Internationally naomba unijulishe if you don't mind.
 
Ok,SteveD;ila ni kwa USA kwanza.Ama kweli charity begins@home,sijui na mimi nianzishe ya kwangu!!Anyway,ikianza kufanya kazi Internationally naomba unijulishe if you don't mind.

Sawa, nitakuandikia barua, nijulishe tu anuani ya sanduku lako la posta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…