YouTube shortcuts kwenye Computer keyboard

YouTube shortcuts kwenye Computer keyboard

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Baadhi ya key zilizopo kwenye keyboard ya computer hua ni Shortcut kwenye YouTube.
Hivyo ukiwa unatumia computer kuna baadhi ya key unaweza zitumia kama mbadala wa kipanya.
Baadhi ya shortcuts hizo ni;

1- kusimamisha video inayo play kwenye YouTube bonyeza Back space hiyo inatumika kama ku Pause video

2- Ku tuliza sauti tu huku video ikiendelea kuplay/ mute voice bonyeza herufi M hapo uta mute sauti.

3- Herufi J hii hutumika kurudisha nyuma video kwa sekunde 5(5sec reverse) hivyo ukibonyeza herufi hiyo itarudisha nyuma video kwa sekunde 5, herufi L hii hurusha video Mbele kwa sekunde 5(5sec Skip) hivyo ukitaka kuskip video kwa sekunde 5 utabonyeza herufi hiyo.

4- mishale kwenye computer ile ya Forward na Back (🔙🔜) hii yenyewe hurusha au kurudisha (skip/reverse) kwa sekunde 10 hii hufanya kazi kama herufi J na L utofauti wake ni sekunde tu.
5- Namba kwenye keyboard yaani 0️⃣1️⃣2️⃣3️⃣4️⃣5️⃣6️⃣7️⃣8️⃣9️⃣🔟 hizi hutumika kurusha video au kurudisha kwa asilimia ya jumla ya video kwa mfano video ikiwa na dk 10 ukibonyeza namba 5️⃣ itajirusha hadi dk 5 ikiwa kama 50% ya video nzima, Hivyo hii hurusha au kurudisha video kama asilimia ya muda wa video hiyo.

Hizo ni baadhi ya shortcuts kwenye Computer keyboard ukiwa unaangalia YouTube.

Nitarudi....
 
Back
Top Bottom