Tanzania Tech , mimi nina shida moja pamoja na hii ya kodi kuna hela nilijaribu kutoa kama dollar 100 hivi nikajaza details za crdb kama accnt name ,number na swift code ili hela itumwe humo sasa cha ajabu wametuma like cheque kwanye sanduku langu la posta nimekwenda crbd pale mlimani city wameniambia huo mfumo hawatumii sasa nitawezaje kutoa hii pesa ....