Youtube video downloader kwenye Macbook

Youtube video downloader kwenye Macbook

mfianchi

Platinum Member
Joined
Jul 1, 2009
Posts
11,904
Reaction score
8,371
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza nahitaji software ya kushushia video kwenye Youtube kwenye Macbook, ikiwa zipo zeye funguo tafadhali nishushie na funguo zake
 
Tumia save from net (huwa unainstall moja kwa moja kwenye browser) utakuwa unapakua moja kwa moja ukiwa unastream
 
Asante mkuu ila sio mtaalamu naomba unipe hatua kwa hatua jinsi ya kufanya
 
Tumia save from net (huwa unainstall moja kwa moja kwenye browser) utakuwa unapakua moja kwa moja ukiwa unastream
Na je save from net si inatumika tu ukiwa online au nauliza tu sababu sina ufahamu
 
Back
Top Bottom