mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 11,904 Reaction score 8,371 May 31, 2020 #1 Wakuu kama kichwa kinavyojieleza nahitaji software ya kushushia video kwenye Youtube kwenye Macbook, ikiwa zipo zeye funguo tafadhali nishushie na funguo zake
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza nahitaji software ya kushushia video kwenye Youtube kwenye Macbook, ikiwa zipo zeye funguo tafadhali nishushie na funguo zake
tamsana JF-Expert Member Joined Jan 13, 2012 Posts 3,739 Reaction score 8,044 May 31, 2020 #2 Tumia save from net (huwa unainstall moja kwa moja kwenye browser) utakuwa unapakua moja kwa moja ukiwa unastream
Tumia save from net (huwa unainstall moja kwa moja kwenye browser) utakuwa unapakua moja kwa moja ukiwa unastream
mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 11,904 Reaction score 8,371 Jun 1, 2020 Thread starter #3 Asante mkuu ila sio mtaalamu naomba unipe hatua kwa hatua jinsi ya kufanya
mfianchi Platinum Member Joined Jul 1, 2009 Posts 11,904 Reaction score 8,371 Jun 1, 2020 Thread starter #4 tamsana said: Tumia save from net (huwa unainstall moja kwa moja kwenye browser) utakuwa unapakua moja kwa moja ukiwa unastream Click to expand... Na je save from net si inatumika tu ukiwa online au nauliza tu sababu sina ufahamu
tamsana said: Tumia save from net (huwa unainstall moja kwa moja kwenye browser) utakuwa unapakua moja kwa moja ukiwa unastream Click to expand... Na je save from net si inatumika tu ukiwa online au nauliza tu sababu sina ufahamu