Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,030
- 20,391
Kulingana na vuguvugu la Russia na Ukraine Mtandao wa YouTube unao milikiwa na Google umesitiza Uvunaji mapato kwenye nchi ya Urusi kipindi hiki mpaka hapo badae itakapojiridhisha.
Kulingana na Sera za uchumaji wa mapato kwenye kituo cha YouTube(Google Monetisation policies for YouTubers).
YouTube imeambatanisha ujumbe huu kwa Wanufaika wa Google AdSense kutoka Urusi.
"Kwa kuzingatia janga la Ukraini, tunasitisha uchumaji wa mapato wa YouTube kwenye vituo vya habari vinavyofadhiliwa na serikali ya Shirikisho la Urusi.
Tutaendelea kufuatilia kikamilifu hali hiyo na kufanya marekebisho inapohitajika"
Hivyo Russia haitofadika na Mapato kutoka YouTube partner Program (YPP).
Nyongeza ya ujumbe wa kingereza kutoka YouTube
"In light of the crisis in Ukraine, we are pausing YouTube’s monetization of Russian Federation state-funded media channels.
We will continue to actively monitor the situation and make adjustments as necessary"