YouTube yatoa mipango ya kuongeza Faida kwa content creators

YouTube yatoa mipango ya kuongeza Faida kwa content creators

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Platform ya YouTube imetoa mipango yake katika kuongeza njia mpya za kutoa faida kwa Creators. YouTube imetaja list ya njia mpya za kupata faida katika YouTube.

๐—ก๐—ท๐—ถ๐—ฎ ๐—บ๐—ฝ๐˜†๐—ฎ ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐˜‡๐—ผ ๐—ฌ๐—ผ๐˜‚๐—ง๐˜‚๐—ฏ๐—ฒ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐—ธ๐—ฎ ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—–๐—ฟ๐—ฒ๐—ฎ๐˜๐—ผ๐—ฟ๐˜€ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐—ณ๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ฎ:

โ‘  Itaweka uwezo wa kuunganisha NFT na akaunti/channel ya YouTube. Hii itawezesha Content Creators ambao wanamiliki NFT waziunganisha na Profile na video zao.

โ‘ก Itaongeza faida ya matangazo katika YouTube Shorts (video fupi za YouTube zinazofanana na style ya TikTok). YouTube itaweka sehemu ya Super Chat katika YouTube Shorts na uwezo wa kuunganisha link za bidhaa ambazo unaziuza katika YouTube Shorts. Hii ni njia ya kushindana na monetization ya TikTok.

โ‘ข YouTube itaweka mfumo wa Live Shopping, tayari YouTube imefanya majaribio na Walmart na ilifanikiwa kupata views zaidi ya Milioni 2.

โ‘ฃ Itafanya mabadiliko katika sehemu ya Insights katika sehemu ya YouTube Studio ili kuongeza taarifa ambazo zitasaidia Creators ku-track contents zao na kuona performance.

โ‘ค YouTube imesema mwaka huu itaweka option ya Creators kuwa live pamoja; na wote watagawana faida ya matangazo. Ni style kama ya Instagram Live.

Pia mwaka huu YouTube TV itabadilika muonekano ili kuboresha muonekano wake kwa watumiaji wa Smart TV. Kwa watumiaji wa iOS itaweka option ya picture-in-picture mode
 
Back
Top Bottom