YouTubers wa Bongo na vituko vyao

YouTubers wa Bongo na vituko vyao

Bob Manson

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
4,158
Reaction score
7,787
Habari za jioni Wadau.

Katika mtandao wa YouTube, video nyingi huwa na cover ya picha ambayo inabeba maudhui yaliyomo katika video husika.

Lakni kwa hapa kwetu Tanzania, hawa jamaa hawapoi kwa picha zao na vichwa vya habari zao za ajabu wanazo weka kila siku.

Najiuliza ni mbinu ya kuvutia watazamaji au ni kukosa ubunifu na maudhui ya kueleweka?

Screenshot_20240606-220929_2.jpg
Screenshot_20240704-172602_1.jpg
Screenshot_20240704-173328_1.jpg

#BM
 
Sema hii style ilikuwa inakupa views za kutosha 2017/19(Nilishawahi tumia pia), ila sikuhizi watu washashtukia, thumbnails na titles za hivyo hazina conversion kubwa, watu wengi wanapenda wale jamaa wa vichekesho siku hizi hata story za udaku watu wanafuatilia kupitia reliable sources kama Wasafi, Clouds,EMedia
 
Kweli siku hizi watu wamekuwa wajanja, ila ukitizama hizo video unakuta bado kuna views, Bado wapenda udaku wapo ila sio kwa kiasi kikubwa.
 
Back
Top Bottom