Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Na ukifungua unakutana na habari tofauti kabisaAlafu dk 18
Eti “Hongera sana mdogo wangu” 😂Bellinga na Aziziki🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wapo wanao amini hizo habari kabisaHuo ujinga pia upo saana kwenye magazeti ya udaku
Hasa watu wazima, wazee wageni kwa matumizi ya smartphoneTarget kubwa hapo ni wageni wa mtandao
Ni kweli kabisa, hao wanaweka maudhui hayo kwakua wanajua wapo wafuasi waoNachojua mimi You can be anything shida ni hatujitoi tu akili
Hivi unajua ukianza kujiita Mtabiri au Shetani lazima utapata watu wakukubali na wakukukataa
Umepiga pejeweHasa watu wazima, wazee wageni kwa matumizi ya smartphone
Kweli siku hizi watu wamekuwa wajanja, ila ukitizama hizo video unakuta bado kuna views, Bado wapenda udaku wapo ila sio kwa kiasi kikubwa.Sema hii style ilikuwa inakupa views za kutosha 2017/19(Nilishawahi tumia pia), ila sikuhizi watu washashtukia, thumbnails na titles za hivyo hazina conversion kubwa, watu wengi wanapenda wale jamaa wa vichekesho siku hizi hata story za udaku watu wanafuatilia kupitia reliable sources kama Wasafi, Clouds,EMedia
🤣🤣🤣Huko YouTube mondi kila siku anatoa video na akina chrisbrown ,,,