Emen JF-Expert Member Joined Jun 22, 2021 Posts 2,069 Reaction score 3,516 Jul 5, 2024 #22 Wanazingua sana
Bob Manson JF-Expert Member Joined May 16, 2021 Posts 4,158 Reaction score 7,787 Jul 5, 2024 Thread starter #23 Mjanja M1 said: Matapeli ni wengi sana kwenye hii nchi Babuji. Click to expand... Matapeli wa viewers
Mjanja M1 said: Matapeli ni wengi sana kwenye hii nchi Babuji. Click to expand... Matapeli wa viewers
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Jul 5, 2024 #24 Ni ww TU!! KAZI ni kipimo cha UTU
macho_mdiliko Platinum Member Joined Mar 10, 2008 Posts 25,191 Reaction score 48,765 Jul 5, 2024 #25 Bob Manson said: Hasa watu wazima, wazee wageni kwa matumizi ya smartphone Click to expand... Asilimia kubwa ya wateja wao ni vijana. Trust me. Tanzania tuna shida kuliko unavyodhani.
Bob Manson said: Hasa watu wazima, wazee wageni kwa matumizi ya smartphone Click to expand... Asilimia kubwa ya wateja wao ni vijana. Trust me. Tanzania tuna shida kuliko unavyodhani.
Bob Manson JF-Expert Member Joined May 16, 2021 Posts 4,158 Reaction score 7,787 Jul 5, 2024 Thread starter #26 macho_mdiliko said: Asilimia kubwa ya wateja wao ni vijana. Trust me. Tanzania tuna shida kuliko unavyodhani. Click to expand... Hao pia watakuwa vijana ambao ni wageni katika mitandao
macho_mdiliko said: Asilimia kubwa ya wateja wao ni vijana. Trust me. Tanzania tuna shida kuliko unavyodhani. Click to expand... Hao pia watakuwa vijana ambao ni wageni katika mitandao