Alagwa
Member
- May 30, 2012
- 96
- 88
Kunekuwa na muamko mkubwa kwa vijana wanaofanya online content creation kwa upande wa YouTube. Nafikiri ni muda sasa wa kuunganisha watu pia kupata wawakilishi katika midahalo mbalimbali na kuitambulisha ili kuchukuliwa kama ni kitu cha msingi kinacho fanywa na vijana.
Pia kupata wawakilishi wa kutusemea huko TCRA. Naona waliofanikiwa kutoboa kwenye nyanja hii wengi wanakuwa wabinafsi na kutotoa ushirikiano kwa wengine.
Pia kupata wawakilishi wa kutusemea huko TCRA. Naona waliofanikiwa kutoboa kwenye nyanja hii wengi wanakuwa wabinafsi na kutotoa ushirikiano kwa wengine.