Hawaha wanaoandika kichwa cha habari tofauti na content ili kumvutia mteja?Kunekuwa na muamko mkubwa kwa vijana wanaofanya online content creation kwa upande wa YouTube. Nafikiri ni muda sasa wa kuunganisha watu waha pia kupata wawakilishi katika midahalo mbalimbali na kuitambulisha ili kuchukuliwa kama ni kitu cha msingi kinacho fanywa na vijana. Pia kupata wawakilishi wa kutusemea huko tcra. Naona waliofanikiwa kutoboa kwenye nyanja hii wengi wanakuwa wabinafsi na kutotoa ushirikiano kwa wengine.
YT wengi ni mambo ya habari. Bait click ni tatizo la dunia. Watengenezaji wa contents professional wengi ni hobby zaidi. Sasa hii issue ya leseni imeua local contents.Hawaha wanaoandika kichwa cha habari tofauti na content ili kumvutia mteja?
Moja ya Vitu vya Hovyo Nilivyowahi Kukutana Navyo Mitandaoni Ni Headlines na Content za Asilimia Kubwa ya Youtube Channels za Wabongo...Kunekuwa na muamko mkubwa kwa vijana wanaofanya online content creation kwa upande wa YouTube. Nafikiri ni muda sasa wa kuunganisha watu pia kupata wawakilishi katika midahalo mbalimbali na kuitambulisha ili kuchukuliwa kama ni kitu cha msingi kinacho fanywa na vijana.
Pia kupata wawakilishi wa kutusemea huko TCRA. Naona waliofanikiwa kutoboa kwenye nyanja hii wengi wanakuwa wabinafsi na kutotoa ushirikiano kwa wengine.
[emoji16][emoji16]Ila youtuber wa bongo wanaongoza kwa uzushi. Eti Gwajima kamfufua Hamza!!