Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Mjinga mwingine huyu hapa.
Wewe unaokota video huko na kuweka maneno yako.
Hiyo video sio ya mwaka huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni xxxxxx.... Kwani nani kaandika ni ya mwaka huu? Umeona imetaja mwaka?
si ukubali tu kuwa umebug..huna updates mkuu...calm down pls
Umekosea tu bhana, usitafute pa kuchomokeaKubug ndo nini? Muwe mnatumia akili.miaka yetu tunasoma ilikuwa muhimu sana kutumia akili ku reason. Hiyo video hata ingekuwa ya mwaka 2000 as long as sijasema ni ya jana. Bado ngesema museven hali yake inatisha.
So hapo whatsa wrong?mimi nmeandika nikijua nachoandika maana sijataja kuwa ni video ya jana au juzi.nimesema anayoyafanya anaonesha ana tatizo si dogo.so kwa akili nyepesi you relate how he behaved and how he is now. Elimu ituwezeshe kuchanganua mambo.ππππ Kama hapa umepata shule bure. Achana sijui kubug sijui ku bug....
Kubug ndo nini? Muwe mnatumia akili.miaka yetu tunasoma ilikuwa muhimu sana kutumia akili ku reason. Hiyo video hata ingekuwa ya mwaka 2000 as long as sijasema ni ya jana. Bado ngesema museven hali yake inatisha.
So hapo whatsa wrong?mimi nmeandika nikijua nachoandika maana sijataja kuwa ni video ya jana au juzi.nimesema anayoyafanya anaonesha ana tatizo si dogo.so kwa akili nyepesi you relate how he behaved and how he is now. Elimu ituwezeshe kuchanganua mambo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kama hapa umepata shule bure. Achana sijui kubug sijui ku bug....
Heheheeee... teh....bara letu lina mambo...
Kuna wakati alisimamisha msafara akachimba dawa vichakani. Sk hizi naskia kwenye maafara wake kuna gari lina choo...!!!!!
Video hiyo ni ya muda sana na alichokifanya kilijadiliwa sana, pengine hauko updated!
Ungekuwa updated, usingeileta! Haina impact kwa wakati ulioileta, japo inaweza kuwa na impact hapo baadae lakini kuijadili kwa sasa ni kama mwalimu kurudia kitu ambacho alishakifundisha na wanafunzi wanakielewa sana, hivyo wanaona kama mwalimu anawaboa tu...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Umeleta umbea unaanza kuumbuliwa wew[emoji23][emoji23][emoji23] jf raha sana