Yoweri Museveni anajaribu kujipindua?

Elius W Ndabila

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2019
Posts
324
Reaction score
649
Huu ni uhuni! Ninachokiona hapa ni Mhe Yoweri Museven kutumia mbinu zingine za kimedani kujaribu "KUJIPINDUA" ili aweke mtu sahihi wa kumrithi.

Mwisho wa hii movie ninadhani atakakuja kusema amepinduliwa na Mtoto wake atashika state. Let's go!

 
Yes hata mimi nimeliona hilo muda sasa, itatangazwa kuwa mtoto amempindua baba yake, na kisha nchi itaongozwa kijeshi
 
Wote hawana akili na tamaa zimewadumaza wanashindwa kuridhika, yanaweza yakuta kama ya Gaddafi, familia ikarudi kwenye umaskini au jela.
 
Hata mimi nilishaisoma hiyo script ya movie. Hiyo ni moja ya optios nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…