Yoweri Museveni and Idd Amin: Nani Muuaji mkubwa

Yoweri Museveni and Idd Amin: Nani Muuaji mkubwa

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
How Uganda under Gen Yoweri Museveni is on course to be worse than under Gen Idi Amin

Idi Amin Dada

1536341872931.png

Even though Idi Amin Dada ruled Uganda for only eight years from 1971 to 1979, he took full advantage of his time in command to put his wrath on display. Roughly half a million people lost their lives due to extrajudicial killings and genocide during this time.

Yoweri Museveni

1536342021483.png
 
Hata kama ni wauaji I wapi serikali ya kukemea ?!. Zamani Tz ilikuwa ikikemea mambo kama hayo ya udictator .
Lakini leo ndio wanashabikia dictatorship in Africa .
 
Hata kama ni wauaji I wapi serikali ya kukemea ?!. Zamani Tz ilikuwa ikikemea mambo kama hayo ya udictator .
Lakini leo ndio wanashabikia dictatorship in Africa .
Huyo atakaemnyoshea mwenzie kidole na ajitazame na yeye kwanza.. Hapa labda Kenyatta ndo anaeweza kuzungumza kidogo likija suala kama hilo..
 
Idd Amin hakuwa kama anavyozungumziwa, Amin habar zake zipo katika propaganda
Mpe paka jina baya alafu umuue... Hiki ndicho kilichomkuta Amin.

Amin alitofautiana itikadi na nyerere ndio sababu kubwa mpaka kufikia vita, Amini hakuwa mwenye kura nyama za watu. Amin hakuua raia wake wala kuwatesa kama mlivyofundishwa shuleni na mitaala yenu mibovu

Sasahivi tumekuwa, tumesoma, tumekutana na watu tumejua.

YOU CAN FOOL SOME PEOPLE SOME TIMES, BUT YOU CANT FOOL ALL THE PEOPLE ALL THE TIMES.
 
Amin hakuwa jambazi kiivyo ile ni.propaganda ya kivita tu. Alikuwa na ukatili wake lakini sijui mara alimwaga vilema kwenye ziwa mara sijui anakula nyama za watu ni.mbewembwe tu za propaganda. Subiri mu7 nae atoke waanze kutaja aliowaua......
 
Hata kama ni wauaji I wapi serikali ya kukemea ?!. Zamani Tz ilikuwa ikikemea mambo kama hayo ya udictator .
Lakini leo ndio wanashabikia dictatorship in Africa .
Tanzania inaingiaje hapo
Tulichelewa sana kwa upuuzi huo
Kwasasa hatuna muda tena
 
Back
Top Bottom