Huyo atakaemnyoshea mwenzie kidole na ajitazame na yeye kwanza.. Hapa labda Kenyatta ndo anaeweza kuzungumza kidogo likija suala kama hilo..Hata kama ni wauaji I wapi serikali ya kukemea ?!. Zamani Tz ilikuwa ikikemea mambo kama hayo ya udictator .
Lakini leo ndio wanashabikia dictatorship in Africa .
Inasadikika lakini so hakuna ukweliAmin inasadikika aliua takriban 500,000
Tanzania inaingiaje hapoHata kama ni wauaji I wapi serikali ya kukemea ?!. Zamani Tz ilikuwa ikikemea mambo kama hayo ya udictator .
Lakini leo ndio wanashabikia dictatorship in Africa .