Usuruhishi wa migogoro siku hizi ukoje mbona unakuja upande mmoja katika mgogoro unapozidiwa au kukalishwa kabisa. Jeshi limeshatangaza ushindi dhidi ya Tigray eti ndo wasiruhishi wanaingia kazini!
Federal government ina nguvu kubwa kijeshi hivyo itashinda tu.
Ila kitendo cha wapiganaji kutoka kabila la Ahmara kushirikiana na serikali kuu kuwashambulia wa Tigray huoni kama kitazidisha zaidi uhasama wa kikabila siku za usoni?