Habari zenu, naomba kujua kama kuna mtu aliefanikiwa kujiunga na Amazon Mechanical Turk, na je alijiungaje na mrejesho upoje wa malipo? Kama hujui Mturk ni online working platform.
Habari zenu, naomba kujua kama kuna mtu aliefanikiwa kujiunga na Amazon Mechanical Turk, na je alijiungaje na mrejesho upoje wa malipo?
Kama hujui Mturk ni online working platform.
Ndugu wala usiangaike Huwezi kufanikiwa ila kwa ushauri wangu jaribu site zingine kama picoworker.com au microworkers.com ingawa malipo yako ni kidogo ila ndio zinazoongoza kwa sasa
Ndugu wala usiangaike Huwezi kufanikiwa ila kwa ushauri wangu jaribu site zingine kama picoworker.com au microworkers.com ingawa malipo yako ni kidogo ila ndio zinazoongoza kwa sasa