kabagambe rubajuma
Member
- Oct 14, 2017
- 84
- 51
Basi tumia zile take away disposable. Bei yake average ni 150/= kwa piece moja. (Bei ya dodoma). Vijiko vya plastic utanunua separately. Kwenye biashara yako weka na juice na matunda.Wateja wa maofisini na kwenye ma bank