yoyote mwenye uhakika juu ya kili swala

yoyote mwenye uhakika juu ya kili swala

cartix

New Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3
Reaction score
0
wanajf me nimechaguliwa ifm course BBF na mkopo nimekula 4172500 .Nimejaribu kuuliza uku na kule kuhusu swala la malipo inakuaje,wengine wakaniambia natakiwa kulipa kiasi kilichobaki kwenye tution fee na direct costs 250000 na wengine wakaniambia itabidi nilipe tution fee yote ya semister ya kwanza pamoja na 250000 ambazo ni direct costs...then mkopo ukiingia watanrudishia ela yangu je ni kweli??
 
subiri mchanganuo wa mkopo utoke ili ujue unatakiw kujazia kiac gan kwny hyo tuition fees
 
Back
Top Bottom