G Game Theory JF-Expert Member Joined Sep 5, 2006 Posts 8,546 Reaction score 855 Jun 2, 2008 #1 HIVI NANI BADO ANAYO MASHATI YA YSL au perfume zake? the man just bite the dust..developing...
Icadon JF-Expert Member Joined Mar 21, 2007 Posts 3,581 Reaction score 193 Jun 2, 2008 #2 Fat Joe na Jadakiss at least nimewasikia wakirap about them kwenye nyimbo kadhaa and yeah Rick Ross too. RIP
Fat Joe na Jadakiss at least nimewasikia wakirap about them kwenye nyimbo kadhaa and yeah Rick Ross too. RIP
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Jun 2, 2008 #3 Hivi madisaina wetu bongo wako timamu?? maana nawona ktk fasheni show tu lakini hawapo madukani......
Hivi madisaina wetu bongo wako timamu?? maana nawona ktk fasheni show tu lakini hawapo madukani......
Mwawado JF-Expert Member Joined Nov 2, 2006 Posts 993 Reaction score 259 Jun 2, 2008 #4 Habari imenisikitisha mno mie ni mpenzi wa Cologne yake Jazz toka miaka ya 80's.Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi.
Habari imenisikitisha mno mie ni mpenzi wa Cologne yake Jazz toka miaka ya 80's.Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi.
WomanOfSubstance JF-Expert Member Joined May 30, 2008 Posts 5,457 Reaction score 963 Jun 2, 2008 #5 tunae KP...ana duka lake for his products....