M mavumbi JF-Expert Member Joined Feb 8, 2013 Posts 596 Reaction score 328 Nov 10, 2021 #1 Nakumbuka niliwahi kusikia kuna Bwana MMoja aliwahi kuisigina Kitabu cha Katiba huko nyuma. Pia vyombo taasisi na watu mbali mbali walikuja juu na kutaka "anyongwe hadharani". Sijui Kashfa hii iliishia wapi na huyo Bwana yu wapi?
Nakumbuka niliwahi kusikia kuna Bwana MMoja aliwahi kuisigina Kitabu cha Katiba huko nyuma. Pia vyombo taasisi na watu mbali mbali walikuja juu na kutaka "anyongwe hadharani". Sijui Kashfa hii iliishia wapi na huyo Bwana yu wapi?