Yu wapi Baby Kabae wa Clouds 360?

Riz king

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
276
Reaction score
549
Huyu mtangazaji nguli, mwenye weledi mzuri na uelewa mpana wa mambo. Mtoto mwenye swaga classic na pisi kali hapa mjini kwenye makazi ya ndugu yetu Paulo mwana wa Makonda.

Nakumbuka alipata kuwa maarufu hasa kipindi cha marehemu mwendazake, hadi alikuwa akiongea na mwendazake live akiwa kwenye kipindi.

Yu wap Babyi Kabae?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…