Yu Wapi DMX?!!!

PAPAKINYI - SJUT 2013

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
367
Reaction score
251
siwezi kumsahau huyu jamaa mwishoni mwa miaka ya 90 na mwanzoni mwa miaka ya 2000;

ruff ryders anthem
what's my name
party up
i miss u
here we go again
we right here n.k.

hakika tulipagawa na hardcore zake,....simsikii tena siku hizi maskini na hata sijui yuko wapi!!

mwenye taarifa zake tafadhali atupie humu!!!!!
 
DMX muuza asali pale stand IGUNGA hakosekani yupo sana tuu jirani na geti la kutoka magari.
 
Yupo sema ana majanga ya kutosha
Hadi sasa anakabiliwa na mashitaka 14 ya ukwepaji kodi na akikutwa na hatia miaka 44 jela inamuhusu.
Hiyo ni ngoma yake alioiachia mapema mwaka huu
 
Amekuwa mzee wa jela sikuhiz, wapi Ja Rule (decorated version of dmx)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…