Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Wajameni naomba kuuliza yule Mwakyembe wetu sisi wana Kyela amegombolewa na mafisadi? yu wapi kukemea haya yanayoendelea? Wajameni naombeni muwahimize Wabunge wenu wampigie Mabele Marando katika nafasi ya uspika! Maslahi ya chama yawe mbele...!

CCM Kyela walikuwa wamejiandikisha kupigiga kura walikuwa watu kama 7000 +.
Mwakyembe alipata kura zaidi ya 15,000 kwa wanachama wa CCM peke yake.
Kuna uwezekano angelishinda bila ya Kuchakachua ila hakujiamini kiasi hicho.
Mkoani CCM, walipopata habari, wakaliweka chini jina lake kwa kumpa maksi za chini sana.
Kule NEC sijui CC wakambeba na kumuweka yeye na wapinzani wake wakawa wamelia.
Takururu wana kila data za Rushwa wakati wa kampeni za ndani ya CCM alizofanya Mwakyembe na wagombea wengine. Wakitaka, muda wowote wanaweza kumbeba na kumfunga kwa kutowa rushwa. Nina amini kuwa watakuwa wamemtisha kuwa kama akikubali kuwa na Mafisadi, basi watamuachia kwa makubaliano akae kimya au hata ikibidi basi AWASAIDIE.
Mwakyembe kama msaada kwa upinzani/Dr. Slaa msahau.
Si yeye tu ila hata hao akina Sitta, Anna, nk nk.....