Yu wapi kachero mbobezi Bernad Membe?

Yu wapi kachero mbobezi Bernad Membe?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Amekuwa kimya sana kiasi cha kusahaulika kwenye pilikapilika na siasa za Tanzania.

Sina kumbukumbu kama alirudi CCM na kusamehewa makosa.

Lakini matukio kibao yametokea hapa katikati na amekuwa kimya bila kutoa tamko la aina yoyote.
 
Sisi wenzako tunajadili bajeti! Wewe unataka tumjadili mtu! Hivi wewe jamaa unajitegemea kweli, au bado unaishi kwa shemeji yako?
 
Itakua yupo kwao Rondo anajipanga
 
Amekuwa kimya sana kiasi cha kusahaulika kwenye pilikapilika na siasa za Tanzania.

Sina kumbukumbu kama alirudi CCM na kusamehewa makosa.

Lakini matukio kibao yametokea hapa katikati na amekuwa kimya bila kutoa tamko la aina yoyote.
Yupo anawazoom tu mliomfanyia majungu na kujiona ndio wamiliki wa chama chenu.
 
Amekuwa kimya sana kiasi cha kusahaulika kwenye pilikapilika na siasa za Tanzania.

Sina kumbukumbu kama alirudi CCM na kusamehewa makosa.

Lakini matukio kibao yametokea hapa katikati na amekuwa kimya bila kutoa tamko la aina yoyote.
Ni mwiko kuulizia habari za gallant statemen like him, its either now or wait for 40+ yrs of sufferings. I dont know by whom..... Muda sahihi utafika ikibidi atasikika. Keep cool.
 
Sisi wenzako tunajadili bajeti! Wewe unataka tumjadili mtu! Hivi wewe jamaa unajitegemea kweli, au bado unaishi kwa shemeji yako?
Acha kutumia makamasi kufikiri, wewe kujadili bajeti ndio sababu ya kachero mbobebezi kutojadiliwa. Shut up stupid person.
 
Uzuri wa Membe ni very Intelligent.
Yupo yawezekana mahali ulipo yupo.
 
Atakuwa anakaguliwa, maana ni kawaida kwa sisi binadamu kukaguliwa mara leo homa mara vimafua...in mamaz voice.
 
Back
Top Bottom