Yu wapi kachero mbobezi Bernad Membe?

i think his point hapa ni kwamba bajeti ya nchi ina umuhim zaid kuliko mtu ambae kisiasa ana umuhim kwa sasa.
Are you insane? Umuhimu wa bajeti ndio ungilie haki za kikatiba kujadili mtu?
 
Kumbe kujadili mtu ni haki ya kikatiba! Wewe ndiyo hopeless wa mwisho kabisa. Kwa kuendekeza huu upopoma wako wa kupenda kujadili watu kwa mgongo wa haki za kikatiba, kutakufanya uendelee kuwa muimba mapambio maisha yako yote.
 
Sasa popoma na mburula kama wewe utafahamu vipi kama kujadili mada yoyote ni haki ya kikatiba.
 
Kumbe kujadili mtu ni haki ya kikatiba! Wewe ndiyo hopeless wa mwisho kabisa. Kwa kuendekeza huu upopoma wako wa kupenda kujadili watu kwa mgongo wa haki za kikatiba, kutakufanya uendelee kuwa muimba mapambio maisha yako yote.
Kasome ibara ya 18 ya katiba ya JMT kada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…