Yu wapi Mao Santiago

Rio Tinto

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2014
Posts
777
Reaction score
451
Wengi wanasema Chris Bella ndie undisputed king of vocalist in Tanzania...sawa Bella yuko vizuri ila hivi kweli anamfikia Mao Santiago...wazee wenzangu yu wapi Mao Santiago...huyu mkali sijamsikia siku nyingi sana toka enzi za Papii Kocha...
 
Huyu alitimuliwa na Mzee Kapuya enzi akiwa waziri wa ulinzi..

Alirudishwa kwao walipotofautiana akudo.
 
Jamaa alifungwa kipindi flani, bt yupo oky nw ameanza record na kuna ngoma moja kaandaa special for jembe lake Papii kocha
 
jamaa ni mkali japo si sawa kumlinganisha na bela coz aina ya mziki wanaofanya ni tofauti. mao mlinganishe na maluu stonche, ndanda kosovo au papii
 
Jamaa alifungwa kipindi flani, bt yupo oky nw ameanza record na kuna ngoma moja kaandaa special for jembe lake Papii kocha

Kwahiyo Kapuya atakua amehusika sana kuwafunga hawa wasanii toka zaire...
 
Kwahiyo Kapuya atakua amehusika sana kuwafunga hawa wasanii toka zaire...

Jamaa alikuwa anaongea hadi huruma,
nanukuu sehem ya maneno yake
" mimi nimekuja huku peke yangu, mjomba, baba,mama na kila kitu ni mimi. Sasa unapewa
Mkataba mgumu, unasaini bila kuelewa na hakuna wa kunijuza au kunipigania, unajikuta unaishia lupango" mwisho wa kunukuu

Alifungwa mwaka na nusu huyu
 
Mungu analipa yote,tumuachie yeye ila inauma sana mana mtu anapambana kujikwamua kimaisha kumbe kuna wabaya wanataka wewe udidimie then wao wapande juu zaidi.Pesa,majumba,magari n.k vyote tunaviacha
 
Alitembea na demu wa Kapuya akafungwa keko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…