mkuu una uhakika gani...na hayo unayozungumza?PODA NI KITU KIBAYA SANA.SIJUI BASHITE MNACHUKIA KWASABABU GANI...HAIHITAJI CHETI KUPINGA NGADA..
dogo yuko hoi kwa brown suga
mwezi mmoja au zaidi baba yake alihojiwa na gazeti fulani na pamoja na mambo mengine ya uzazi aligusia kuwa Maund aliapata shida na sukari ya hudhurungi...........japo alidai kuwa kwa sasa anaendelea poa na amaeushinda uraibu wa madawa uliokuwa ikimshikilia matekamkuu una uhakika gani...na hayo unayozungumza?
unamaanisha Ngada?? Madawa ya kulevyamwezi mmoja au zaidi baba yake alihojiwa na gazeti fulani na pamoja na mambo mengine ya uzazi aligusia kuwa Maund aliapata shida na sukari ya hudhurungi...........japo alidai kuwa kwa sasa anaendelea poa na amaeushinda uraibu wa madawa uliokuwa ikimshikilia mateka
Mkuu huyo Vumilia nimetoka kusikiliza ngoma yake ya "utanikumbuka"sio mida anajua sana huyo binti nae kapotea sana.zama za kina maunda,mwasiti na vumi.
Na upenda huo wimbo naupate jiranMkuu huyo Vumilia nimetoka kusikiliza ngoma yake ya "utanikumbuka"sio mida anajua sana huyo binti nae kapotea sana.