alpha simon
Member
- Sep 21, 2016
- 7
- 3
Kama aliishia kwenye jani tu anaweza kutoka tena,lakini kama aliongezea na ngada,itakuwa ndiyo nitoleeDaaah
Huyu jamaa ni msanii asiye jijali kuliko wote duniani.
Aligombana na man waltet baadaye akawa ana shinfa na afande sele wanapiga bange tuu nakunywa, sijajua kama aliishia wap tena
Ule mwaka wa tamaa mbaya na ule wimbo mwingine kwa kweli ali hit
Ila mpaka kesho naupenda wimbo wa mama neema bonge ya wimbo ile
Ngada na jani ni kitu kimojaKama aliishia kwenye jani tu anaweza kutoka tena,lakini kama aliongezea na ngada,itakuwa ndiyo nitolee
Afande bana huwa anajitoa ufahamu sana, watu wa Moro wangefanya makosa makubwa sana kumchagua
Raha ya bangi kichaa kipande
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Afande bana huwa anajitoa ufahamu sana, watu wa Moro wangefanya makosa makubwa sana kumchagua
Ni kweli ila muonekano na matendo huwa anasahau[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila jamaa huwa namskikizaga akiongea kwenye media sja wahi ona anatema pumba asee
Ndo anacho nishangaza daily
hii picha imenichekesha sana....afande naons kapiga ndala na sendoz