Yu wapi Mwanasiasa Shyrose Bhanji??

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
Aisee huyu sijamsikia kabisa hivi mwaka huu hakugombea hata viti maalumu maana 2005 alikuwa machachari sana??


 

Attachments

  • shyrose.jpg
    76.7 KB · Views: 508
  • shyrose2.jpg
    63 KB · Views: 489
  • shyJK2.jpg
    43.4 KB · Views: 484
Duh! cheki mtindi huo....kulaleki walahi....

Dogo nyani ngabu kama hujui matumizi bora ya mtindi wakati wa kula chakula cha usiku, kaa kimya au subiri ukikua mkubwa utajurishwa na kungwi/ngariba wako.
 
Dogo nyani ngabu kama hujui matumizi bora ya mtindi wakati wa kula chakula cha usiku, kaa kimya au subiri ukikua mkubwa utajurishwa na kungwi/ngariba wako.

Unaionaje lakini wewe hiyo nido yake? Inahusika?
 
uzuri wa nido aka embe sindano aka embo dodo anaujua mfyonzaji I am sure Rose nae analijua hili
 
Walimchakachulia matokeo ya kura za maoni jimbo la kinondoni hana hamu tena!

Inawezekana mkwere hajatembelea maeneo hayo ndio maana hali hiyo ikajitokeza na kama mkwere angepita hapo basi kusingekuwa na kipingamizi.
 
Mwanadada alijituma sana kuwa karibu na fammilia ya JK na clouds fm, ila sijui Mheshimiwa hajamuona au inakuaje ,labda atamkumbuka kwa ukuuwa kata.
 
huyu dada kimeo, bora walivochakachua matokeo yake
 
...Inawezekana hajawaona Wazee wakamuona kuwa 'Ni Mwenzetu' na ndio maana kila anapojaribu kutia mguu kwenye nafasi za kisiasa anatoka kapa.
 
Msitukane Mamba kabla ya kuvuka mto, hata kama Mamba mwenyewe ni jike, labda Mkwere atampa ukuu wa wilaya kama mwenzake Nape....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…