B bojuka Senior Member Joined Sep 9, 2010 Posts 128 Reaction score 1 Nov 14, 2010 #1 Wana jf mwenye taarifa ya Nakaaya azianike hapa. Alisikika kuwa amehamia ccm akitokea chadema
Mzito Kabwela JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 18,887 Reaction score 7,673 Nov 14, 2010 #2 bojuka said: Wana jf mwenye taarifa ya Nakaaya azianike hapa. Alisikika kuwa amehamia ccm akitokea chadema Click to expand... HUYU HAPA......
bojuka said: Wana jf mwenye taarifa ya Nakaaya azianike hapa. Alisikika kuwa amehamia ccm akitokea chadema Click to expand... HUYU HAPA......
Speaker JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 6,324 Reaction score 2,240 Nov 14, 2010 #4 hahahahaha
PayGod JF-Expert Member Joined Mar 4, 2008 Posts 1,259 Reaction score 60 Nov 14, 2010 #5 amefulia tu yuko zake AR, KWA WAZAZI WAKE, CHOKA MBAYA
Mo-TOWN JF-Expert Member Joined Oct 11, 2010 Posts 1,721 Reaction score 515 Nov 14, 2010 #6 Si mwajua Bongo tena. Alishasetiwa njoo CCM tunashinda utapata viti maalum. Matokeo yake hakuna ushindi back to sq1. Nadhani atakuwa anatunga nyimbo za kuwakashifu wapinzani.
Si mwajua Bongo tena. Alishasetiwa njoo CCM tunashinda utapata viti maalum. Matokeo yake hakuna ushindi back to sq1. Nadhani atakuwa anatunga nyimbo za kuwakashifu wapinzani.
Gudboy JF-Expert Member Joined Aug 14, 2009 Posts 867 Reaction score 82 Nov 14, 2010 #7 hana mpya huyu